Idrissu Sultan Agoma Kuoa Kabla Diamond Platnumz Hajaoa

Mchekeshaji Na muigizaji ( @idrissultan ) Amefunguka Juu Ya Yeye Kufunga Ndoa Hivi Karibuni. Idris wakati akifanyiwa mahojiano amesema kwa sasa Hawezi kufunga ndoa kabla ya Mmiliki wa Wasafi ( diamondplatnumz ) Kufunga Ndoa Pia ameweka wazi kuwa hana mtoto kwa sasa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad