Ilitulazimu kuwajadili Wagombea kwa kina ili tujiridhishe- JPM




“Uchambuzi wa kila mmoja wa kina tunao, Kamati Kuu tumejadili vizuri, hatujampendelea Mtu au kumnyima haki yake, ila ilitulazimu kutumia taarifa nyingi na kuwajadili Wagombea kwa muda mrefu ili watakaopotishwa wawe wenye uwezo wa kuipeperusha bendera ya CCM na kutupa ushindi”-JPM

“Miongoni mwa Wabunge na Wawakilishi atapatikana Waziri Mkuu, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar,Mawaziri, Spika nk, hivyo ilitulazimu kuwajadili Wagombea kwa kina ili tujiridhishe tutakaowapitisha wana sifa zinazostahili kuwa Viongozi na wanafahamu Dira za Nchi na Sera za CCM”-JPM

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad