Jux 'Vanessa Mdee Amenisikitisha, Nimepata Tabu Sana, Nipo Single'



Msanii wa muziki na Rais wa label ya African Boy, Jux amefunguka kuhusu amahusiano yake kwa sasa, yaliyopita na Vanessa Mdee na namna alivyoweza kupambana ili kuhakikisha anayapita yote hayo.


”Sina Mpenzi na nimekuwa Single kidogo, kwakifupi nipo single kwa sasa. Kwenye mapenzi huwa sipangi vitu huwa vinatokea tu. Nimesikitishwa na taarifa za Vanessa Mdee kuwacha muziki. Nimepata tabu sana.”- Amesema Jux

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad