Kama Msichana Ushavuka Miaka 30 Bado Hujaolewa Jua Una Hali Mbaya

Kama Msichana Ushavuka Miaka 30 Bado Hujaolewa Jua Una Hali Mbaya

 Kama Msichana Ushavuka Miaka 30 Bado Hujaolewa Jua Una Hali Mbaya


Kama wewe ni msichana na umeshavuka miaka 30 bado hujaolewa na wala huna mtu wa kueleweka ambaye amejitambulisha kwenu tambua kwamba una hali mbaya.

Wasichana wengi siku hizi wamekua na tabia ya kupenda vitu vya anasa hali inayopelekea sisi wanaume kuwaogopa kama ukoma.Mfano kutaka kufanyiwa shopping za bei mbaya,kumiliki simu za gharama zinazoanzia milioni moja na kuendelea,kupenda kuwa na mwanaume mwenye mshahara unaoanzia milioni tatu kwa mwezi na kuendelea n.k

Hali hii inasababisha hata sisi wenye kipata cha laki saba kushuka chini tuwaogope kwa kuamimini kwamba hatuna uwezo wa kukidhi mahitaji yenu hatimaye mnajikuta mnazeekea nyumbani kutaamakitaamaki miaka 45 hii hapa ambapo ndo kipindi cha menopause kwa mwanamke yeyote.

Msipende mteremko sababu hata huyo mwenye magari,majumba na kipato kikubwa hujui ametumia njia gani mpaka kupata hivyo vitu.Starehe hazina mwisho hivyo unapobweteka na starehe fahamu kwamba fainali uzeeni muda ndio refa.

Aliesikia na asikie na alieamua kupuuzia na apuuzie
Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Are we still living a life like in 1800 centuries that a woman must get married and make a woman like ur own property make a woman ur slave washin' cookin' take care of children all alone and all other bullshit stuffs while u sittin' at the bar counter with another woman enjoyin' the life?)that time has been long gone bro!!IT'S A FREE WORLD we're livin'2day

    ReplyDelete
    Replies
    1. What does living in a free world got to do with having a stable family. The article says nothing about a woman being turned into a property. It's simply a wake up call for gold diggers.

      Delete
    2. wanaume mbona mnapanik sana kaoeni basi mama zenu nani kawaambia tunahitaji kuolewa?? insecurities zenu zipelekeni kwa dada zenu he he he he

      Delete
    3. wanaume mbona mnapanik sana kaoeni basi mama zenu nani kawaambia tunahitaji kuolewa?? insecurities zenu zipelekeni kwa dada zenu he he he he

      Delete
    4. aha ha ha ha ha haaaaa ipo cku ulicho kiandika kitakuhukumu sirini kama ulivyo ficha jina

      Delete
  2. Admin nimekupenda buree kwa hili

    ReplyDelete
  3. Kuolewa umeona dili haha ha ha wengine wanapenda kuishi single sasa unawapangia maisha? kaka mama zenu waliolewa ma teenagers usilazimishe wengine. Tena wakati huo walikuwa magoli kipa, sasa hivi wanawake wameenda shule wanaingiza mikwanja yao, ya nini kuwa na mistress ya wanaume wakati unaweza kupata sperm hospitali na kulea mwanao kwa raha mustarehe kuliko kuhemeana na magonjwa juu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama kuolewa sio dili mbona mnatembea na waume za watu kila leo? Hayo ni maneno ya mkosaji

      Delete
    2. Ha ha ha wewe umeona kuolewa dili? Haya mchinje,na huyo mmeo usitugawie! Eti kutembea na mme WA mti kumbe hujui kwamba mme WA mtu na stress no jashooo? Wewe mfulue mpikie mbrashie viatu then acha tuvinjari naye sie alaaa

      Delete
  4. Ukweli utabaki palepale Uolewe usiolewe u need to have a good life, Jiulize mbona kama ndoa nzuri sana rate ya separation inaongezeka kila siku? So usiseme kua eti umefika t30's ndo ulie kua hutoolewa tena. Wake up call Kwa wanawake wote make sure unamaisha yako with or without marriage wanaume wengi siku hizi ni wanyanyasaji saaaana. after all on ur grave they wont write you were single or married.

    ReplyDelete
  5. Mimi nilikua na mwanaume kila siku matusi sijasoma, masikini,Malaya nilikua nalia kila siku.siku nikafanya maamuzi magumu nikamuacha since that day niko happy nauuwezo wa kubadilisha mboga.watu waliniona mjinga kumuucha tajiri,wanawake wenzangu nimegundua Amani ni bora kuliko mwanaume tajiri

    ReplyDelete
  6. kanunue sperm faida yake IPO haba Sana na mtoto atataka amjue baba yake utamwoneshea kisperm au acha kufata hayo mambo NI Masonic sikufichi Kuna siku hutoelewana na mwanao nukuu hivyo utanishukuru

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad