Kazi Imeanza Dodoma: Kamati Kuu CCM Yaanza Kuwachambua Wagombea


Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiongozwa na Mwenyekiti, Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakiendelea na kikao cha kupendekeza majina ya wagombea ubunge, uwakilishi na wabunge wa viti maalum leo Jumanne, Agosti 18, 2020, Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad