Umri unanitupa mkono maana nakaribia miaka 35 lakini sijampata aliyewahi kunitangazia ndoa.Cha ajabu kila anayelala na mimi siku ya pili harudii tena na hata nikimpigia simu hapokei
Hapo ndo linapoanzia tatizo na kunifanya nijisikie vibaya...Saivi hata mtaani nachagua kwa kupita...
Kuna mwanaume mmoja huyo ndo aliwahi kunichana live kuwa nina maji mengi ila sielewi alimaanisha nini
Jamani naomba msaada nifanyaje mie nipendwe kama wengine
Hide My Name.
Habari za Michezo : Soka Tanzania
daaaaah! pole aiseeee, kama vp nenda kaonane na daktar bingwa wa magonjwa ya wanawake anaweza kukusahidia!
ReplyDeleteNjoo kwang me nitarudia mda wwote utakapo penz lang ucjal find on fb Hansen mtutuma nimeumbwa kwa ajila yenu galz
ReplyDeletepole dada dawa zipo na utapona nenda hospitali kapate ushauri wa doktari
ReplyDeletemaji wala sio tatizo tena ndo yenyewe hayo, huyo anaelalamikia maji mengi hajui mambo.akienda kwa wataalam wa katerero atachekwa, kila mtu anataka kumwaga maji au mautelezi.ukubwa sio hoja pia hao unaowapata hawana utaalam tu. na je wewe unaridhika wakikupitia?????? au na wewe unawapa ilimradi tu
ReplyDelete**Pole sister check na doctor mwenye number 0763222246 or 0712100300 Dr. Ndodi tatizo lako litakwisha**
ReplyDeleteHaa mm ninavyopenda hiyo mimaji?
ReplyDeleteUkweli ni kuwa maji au ukubwa wa hiyo kitu si tatizo!! kitaalamu; hiyo kitu hufuata saizi ya ndude, cheza na misuli ya ndani na onyesha ufundi, hata hivyo nadhani hujui kucheza na akili za manaume, kwani ndio kila kitu kinakoanzia, kajifunze Tanga na mwisho murudie muumba wako!
ReplyDeletePole sana sister nenda kamwone doctor ata kusaidia afu jalibu kufanya mazoezi ya kupunguza mwili??
ReplyDeleteNitafute kwenye fb,madevekanguvilla
ReplyDeleteTutafutane kwenye fb pls:madevekanguvilla
ReplyDeletePole,wako madaktari wakaokusaidia
ReplyDeletekamulia ndimu 2 dada yangu, au njo kwangu
ReplyDeleteKama unaishi maeneo karibu na bahari ya maji ya chumvi fanya kawaida ya kwenda kuogelea kila siku ,kwani maji ya bahari ya chumvi huifanya hiyo sehemu kuwa kavu.jizuwie kufanya mapenzi kwa muda kiasi miezi 3 au zaidi utagunduwa matokeo yake na kama ni lazima ufanye mapenzi basi tumia makalio usiwambie wanaume wewe kuwa unaupeleka huko bila wao kujuwa
ReplyDeleteLakuvunda Halina Ubani :-))
kafie mbele kama vipi ongea na dawasco wakupe tenda ya kusambaza hayo maji watu tunataka kitu dry ujui siku hizi tunaunda mabondeni mimaji tutaloa kisha kesho tutanyimwa chumba.
ReplyDeletenitafute nitakupa dawa sitanii dawa ninayo;0752843555
ReplyDeleteNitafute mintarudi tu kama kwel unamaanisha.
ReplyDeleteHao wote hawakupi ushauri wa kweli,kwa umri wangu hali hiyo sio mbaya ni nzuri why nasema hivyo wakati wa msuguano hakuna atakae umiaupo free lakini hiyo minato wanayotaka maranyingo rahisi kupata mchubuko kikubwa zaidi kabala hujafanya tendo la ndoa jitahidi kufanya usafi sehem husika kabla na baada ya shukhuli au kikubwa zaidi ni usafi,nahao wanao kukimbia hawakupendi wao wanachojali sexakini mambohayo yapo kwa wengi tu tena asilimia 90 wale wazuri kisura na mijishep
ReplyDeletehuna mambo
ReplyDeleteHi hapa niko nasuluhisho kamili tafadhali naomba tukutane nikupe dawa
ReplyDelete