Maamuzi ya Andrew Chenge Baada ya Kukatwa Ubunge



MBUNGE wa Jimbo la Bariadi mkoani Simiyu aliyemaliza muda wake Andrew Chenge, amesema kuwa kuanzia sasa ameyavunja makundi yote yaliyokuwa yakimuunga mkono yeye, badala yake watakuwa ni wamoja ili kumuunga mkono mgombea wa Jimbo hilo aliyepitishwa na CCM Mhandisi Andrea Kundo.

Chenge amewashukuru viongozi wote wa CCM waliompa nafasi ya kuongoza kwa kipindi cha miaka 15 ambayo aliitumia kukomboa jimbo hilo lisiende kwa wapinzani na kwamba ameamua kutoruhusu uwepo wa makundi hayo ili kuepuka anguko la kidemokrasia.

“Niwashukuru sana viongozi wa CCM kwa heshima mliyonipatia tangu 2005, naona kwenye mitandao maneno mengine ya kipuuzi yanasemwa pembeni, nasema kuanzia sasa hakuna kundi la Chenge, kundi letu ni la CCM”, amesema Chenge.

Mwanasiasa huyo Andrew Chenge, amewahi kushika nafasi mbalimbali za uongozi Serikalini ikiwemo Uwaziri na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mpenzi wangu aliachana na mimi, najua ilikuwa kosa langu ambalo lilimfanya aachane na mimi, akanipata nikiongea juu yake, kuna kijana niliyemwita rafiki yangu alinivuta na kufanya naye mapenzi kisha mpenzi wangu akatushika, basi aliachana na mimi, ninampenda sana, nilifurahisha kwa wiki na miezi hakukubali kunikubali, nilikuwa nikisoma mkondoni jinsi ya kumrudisha mpenzi wangu basi nilikuta na makala juu ya jinsi mwanamke alirudi Mumewe aliyempa talaka, alisema kuwa Dk Lomi amsaidia alifanya sala kadhaa na mumewe amerejea kwake, basi na mimi nikawasiliana na Dr Lomi na kuelezea kile kilichotokea kisha akanisaidia kufanya maombi kadhaa na mpenzi wangu akarudi akiniombea alijuta kuwa bado ananipenda na leo tumerudi pamoja na naahidi kamwe hatutazungumza juu yake na leo tunafurahi, ikiwa unahitaji pia Msaidizi wa Dk Lomi kuwasiliana naye kwenye Line ya nambari ya WhatsApp; +2349034287285 unaweza pia kumtumia barua pepe; lomiultimatetemple@gmail.com kwa msaada

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad