Magufuli "Mimi na Mama Samia Tutafanya Kampeni za Ustaarabu sana, Tutaheshimu Watu Wote "
0
August 06, 2020
“Mimi na Mama @SuluhuSamia tutafanya kampeni za ustaarabu sana, tutaheshimu watu wote na nina uhakika Watanzania wa vyama vyote watatupigia kura kwa sababu maendeleo hayana chama, tuendelee kushikamana, tumtangulize Mungu”
Tags