“Wanachama wa CCM msitembee tu mkisema Magufuli ameshinda au Chama kimeshinda naomba mjitokeze kupiga kura, msipopigara kura maana yake hizo kura mnazipunguza,napenda kuwathibitishia nimeomba hii nafasi sio kwa kulazimishwa ila nataka kuwatumikia wanyonge”-JPM