Magufuli "Tulimtanguliza Mungu Wakati wa Corona Tukafunga Siku 3 Leo Hakuna Mwenye Corona, Unabanana tu Hata Kitandani"
0
August 06, 2020
“Tulimtanguliza Mungu wakati wa Corona tukafunga siku 3, tukamshukuru siku 3 leo hakuna mwenye Corona hapa tunabanana tu hata Kitandani bananeni tu vizuri, ninasema hivyo kwa sababu aliyenitangulia amesema kampeni tutafanya Kitanda kwa Kitanda
Tags