Mavoko afunguka kuruhusiwa kuzitumia nyimbo zake na lebo ya Diamond WCB, akaunti ya Youtube ya kwangu (+Video)


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Rich mavoko amefunguka kuhusu kuzitumia ngoma alizofanya akiwa bado yupo chini ya Diamond Platnumzkatika lebo ya WCB, Rich ameweka wazi kuhusu kuzitumia nyimbo hizo na kumiliki akaunti mbili za Youtube yaani ile ya Rich Mavoko na Bilionea Kid.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad