Mbasha 'Kuna Watu Walitaka BIFU Langu na Adam Mchomvu Liendelee"



Baada ya Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt Hassan Abbas kusimamia mchongo wa kumaliza tofauti za Emmanuel Mbasha na Adam Mchomvu jana kwenye #XXLyaCloudsFM, @e.mbasha ameiambia #LeoTenayaCloudsFM kuwa wapo watu ambao wanampigia simu na kuonyesha masikitiko yao kwa kitendo cha kumalizika kwa tofauti kati yake na @adamchomvu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad