Membe Atoa Mpya Awaita Wana CCM Ambao Hawajateuliwa Kujiunga na ACT Wazalendo


Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimatifa Bernard Membe amewapongeza walioteuliwa kugombea ubunge katika majimbo mbalimbali kupitia chama cha mapinduzi CCM.
Membe akuishia hapo alichukua nafasi kuwapa pole wale waliokosa nafasi ya kuteuliwa na kuwkaribisha kujiunga katika chama cha ACT Wazalendo.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad