Mfanyabiashara Taalib Mbowe Mikononi Mwa Takukuru



Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia kwa mahojiano Mfanyabiashara ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya White Star Investment ya Jijini Dar, Taalib Karim Mbowe


Kampuni hiyo inafanya biashara ya usafirishaji ndani na nje ya nchi kwa kutumia malori na Mmiliki wake, Taalib anachunguzwa kwa makosa ya ukwepaji kodi, udanganyifu na Utakatishaji Fedha haramu



Pia, TAKUKURU inachunguza umiliki wa vichwa vya malori zaidi ya 100 vya mfanyabiashara huyo pamoja na mikopo yake ya zaidi ya Dola za Marekani 3,000,000 kutoka Barclays na Dola 540,000 kutoka Equity Bank


Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad