Mke Amuomba Mumewe Aoe Rafiki Yake ili Naye Awe na Ndoa
0
August 27, 2020
Wanandoa hao waliojaliwa Watoto wawili, wameridhia kumpokea Mwanamke mwingine katika ndoa yao ili asibaki mpweke
Wanawake hao pichani wanaelezwa kuwa marafiki walioshibana
Mmoja wa wanawake hao alimshawishi mumewe amuoe rafiki yake baada ya kuona hajaolewa
Je, mdau wetu unaweza kumshawishi mumeo amuoe rafiki yako?
Tags