Mlipuko Lebanon Vifo Vyaongezeka Vyafikia 130



Ripoti kutoka Lebanon zinasema hadi sasa Watu zaidi ya 130 wamethibitika kufariki kutokana na mlipuko uliotokea Bandari ya Beirut juzi August 04,2020, Watu wengine zaidi ya 4000 wamejeruhiwa, Rais wa Lebanon amesisitiza kuwa uchunguzi kuhusu tukio hilo unaendelea.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad