Msanii wabongo movie Duma afunga ndoa



Mkali wa Filamu Bongo, Daud Michael maarufu 'Duma' amefunga ndoa Ijumaa hii na mpenzi wake anaetajwa kuwa wa muda mrefu ambaye sasa amekuwa mkewe rasmi.

Duma na mkewe wamefunga ndoa hiyo kwa dini ya kiislamu na kuhudhuriwa na watu wake wa karibu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad