Naumia Sana, Nimemzimikia Boss Wangu Kazini ..Sijui Nifanyaje

Nimepata ajira mpya wiki ya kwanza mambo yalikuwa safi kuizoea na kuipenda kazi yangu wiki ya pili nikajikuta nimampenda sana huyu kaka yeye ni moja wapo ya superiors wangu ninareport kwake baadhi ya kazi zangu.

Nahisi kagundua nimezama kwake so huwa ananiongelesha kwa upole sana hata nikikosea katika kazi hawi mkali kabisa na haikuwa hivyo wiki ya kwanza nilipofika,saingine hawezi kuniangalia machoni kwa mda mrefu,tukionana huwa tunasalimiana kwa furaha na matabasamu ya kutosha ila ni mtu ambaye yupo busy sana ni wale hardworkers kwenye institution.

Kweli naumia nahisi sijawahi kupenda hivi ofcoz maisha yangu yote ilikuwa a man ananifata kwanza then ananiconvince mpaka naingia line ila this is different mimi ndiyo nimefall yeye ni mme wa mtu na mimi ni mke wa mtu (of coz mimi bado mrembo najijua ninamvuto)Mme wng tuna miaka 8 ndoani sasa anaupendo sana na ni baba bora sana ila ndo nimekumbwa jamani nimesali na kukemea hii hali ipotee ila ndo inazidi sijawahi kuwaza hela yake natamani mda wake tu japo siku moja aongee na moyo wangu hii kiu niliyonayo itulie sisubutu kumwambia nampenda ataniona najirahisisha kwake. This feeling is very strong jamani it is killing me nimekuja kusema hii siri yangu huku nisaidieni nifanyaje
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe kweli unatia huruma na ukwware wako. Je bosi wako ana Familia?

    Kama ni hardworkinng boss huyo attakuwa ni mwenye Maadili na kama muisilamu ameruhusiwa wanne. jaribu bahati yako ya Ukware wako. Hutaki staa ? Stive Nyelele / Hamo Lapa hata piyee Likwidi wapo tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad