NEC imemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mgombea wa Urais


Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage amemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Hamida Abdallah Huweishi, kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia chama cha CUF.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad