NEC yamteua Mahona kuwa mgombea wa urais kupitia chama cha NRA




 Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage amemteua Leopold Mahona kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ally Hamis kuwa mgombea wa kiti cha Makamu wa Rais kupitia tiketi ya chama cha NRA.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad