Juzi kati nimefanikiwa kunasa mdada mmoja mwenye vigezo kama hivyo ni nikafanikiwa kuwa naye ni mzuri sana
Baada ya kukolea nami akataka kujenga uhusiano wa kudumu japo hata kwa mchepuko ama nyumba ndogo! Kwa jinsi hata mi nilivyokolea kwake nikamkubalia.
Kitakachofanya nimuache pamoja na vigezo vyake vizuri, ni kwamba ana majini na kaniambia yeye mwenyewe , kanitajia idadi na majina ya hayo majini hadi nikaogopa.
Yaani hapo nawaza hivi siku yakicharuka hayo madude yake japo sijui huwa yanafanyaje, si itakuwa balaa.
Aisee kwa kweli naachia ngazi huku bado nalitamani hilo dada la kibantu lilioumbika vizuri, limeenea kila idara.
Udaku wacheni upumbavu wa kurudia habari kama hamuna jipya jipeni muda mukapumzike
ReplyDeleteAchaa tamaa xaxa utakuja kufa wewe
ReplyDeleteNiachie mm
ReplyDeletePole sana maana tayari kakuachia mengine
ReplyDeleteVery sorry for that lakini kama tatozo ni hilo la mashetani yantibika nami nayatibu ila kwa njia isiyokuwa ya kishirikina ya makafara na takataka nyinginezo. Dawa tu dua na kisomo bas. Kama vipi mlete nimsaidie huyo dada. 0715486176
ReplyDeleteVeru sorry lakini hilo tatizo ni dogo na mudu kukusaidia. La msingi nitafute kweny 0715486176 na shuulika na tiba hizo
ReplyDelete