Nina Date Nae Wiki ya PILI Sasa ..."Ananiuliza Nina Mpango Gani wa Ndoa"




Habari ya mwaka ndugu,naam kama ilivyo ada tena kwa mara nyingi ni true story
Kuna mdada nina date naye week ya pili sasa ,tangia nimemjua kwa ukaribu its about mwezi na nusu ,jana ameanza kubadilika tofauti na alivyokua mwanzo,baada ya kumuulizia (just inquisitive) sana amekuja na swali Nina mpango gani na yeye?
Kiukweli hii issue imeniacha mdomo wazi imenistua honestly two weeks?hata sijamjua kiundani,nikafanya categorisation zangu ananiuliza nina mpango naye gani?
Kwa utafiti nilioufanya haraka haraka nimeshtukia kuwa rafiki zake wengi wameolewa na mara kadhaa ndani ya mwezi mmoja na nusu niliojuana naye amewahi kuniaga anaenda send off,na wedding party kadhaa

Swali sasa kwa wanaukumbi walioa au ma single pia, hivi ndani ya week mbili tatu unaweza kuweka promise ya ku engage au oa?Au ndo dunia ya digitali

Hapa nazungumza baada ya kubanwa sana nina mpango gani niliahidi RING ENGAGEMENT ambayo tarehe wala mwezi sijaweka clear kwa sababu machale yamenicheza huyu mtu anaji pretend na anatafuta pa ku fulfill marriage ambition yake(hii ndo tafsiri yangu) so far mambo kama haya ndo yanatunga mimba na kuzaa mauti ndani ya ndoa baadae na moyo wangu hauko radhi kabisa

Naomba kuwasilisha,mnipe mawazo ,experience ,knowledges zenu nanyi wana board huenda nami pia nimekosea
Tiririka
Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaan we ndo pumbavu kabisa sa shida yako umchezee kisha umdampu vip angekuwa dada yako afanyiwe hivyo acha uchoko piga ndoa fasta!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. well said, kwa wabongo hilo swali linakushitua kwa watu wa majuu walioendelea na wanaothamini uwazi na ukweli hilo swali la kawaida na watakushangaa usipouliza, amekuuliza mawazo yako si umjibu ugumu uko wapi mwambie ukweli unaogopa nini? hii zama ya digital ukimuona mtu huna muelekeo naye mwambie ukweli asepe zake au kama unamuona mtaelewana mwambie yaliyo moyoni muendeleze penzi lenu,kifupi wananchi mjifunze tabia ya kusema ukweli na kuwa wawazi

      Delete
  2. Muoe tu kaka huyo ana malengo mazur au ulitaka umpate wa kukuchuna? Ts gud kaenda direct to the point, fikiri zaidi

    ReplyDelete
    Replies
    1. mwambieni huyo, tena bora hata yeye kamjua kwa wiki mbili wale bibi zetu walikua wanaolewa hata hamjuani mnaonana siku ya harusi mnafall in love ndani ya ndoa na ndoa zilidumu mpaka kifo kiliwatenganisha sasa kaka unataka umjue mtu miaka mingapi ndio utangaze utamuoa?

      Delete
  3. Kumjua mtu tabia haihitaji ukae miezi au mwaka kwani kama mtu ameshakua mkubwa kiasi cha kuweza kuolewa tabia yake tayari imeshajulikana, cha kufanya ni kwenda anapoishi na kuuliza tabia yake kwa majirani, mtaani na hata ndugu zake maana ukiamua umchunguze wewe binafsi unaweza kuchukua hata mwaka na ukapata majibu yasio ya ukweli kwani huwa wanajipretend sana hao.

    ReplyDelete
  4. We oa acha kuzubaa

    ReplyDelete
  5. Huyo Yuko desperate amewakataa waliompenda mwanzo sasa anatapatapa..atamegwa mpaka jasho,damu na machozi yamtoke....kimbia Kama una doubt

    ReplyDelete
  6. Dada zako watafanyiwa hivyohivyo panya ww

    ReplyDelete
  7. Listen to your heart,na the day umemuaproach ulikua na malengo gan nae?

    ReplyDelete
  8. Povu linakutoka..watanzania tu wanafiki sana...wiki mbili unataka kuolewa bila ya kujua background...labda wachawi kwao au Wana magonjwa ya kurithi Kama vichaa...ndio maana kila kukicha ndoa zinavunjika ...hata Kama dada yako Malaya no sympathy ..piga mawe Kama uarabuni

    ReplyDelete
    Replies
    1. punguza joto hasira yesu anakupenda

      Delete
  9. Unamapenz ya dhat ama? We msalit mkubwa, wa hvyo humalzana na mungu.....fanya utafanywa!/\//

    ReplyDelete
  10. Huna akili kwani ungenijibu mwenyewe ningekuelewa hadi uingie humu!!Kuanzia leo achana na mimi ctaki tena kuchezewa kumbe huna malengo

    ReplyDelete
  11. Mzeee kazii unayooo ilaanc ni mawazooo tuu maamuziii unayoo mwnyw km mazoeziii na kusafishaanrunguu au mazimaa coz raha anakupaa ww uctuzuge apaa wahunii

    ReplyDelete
  12. Mwambie mipango ya ndoa inapangwa kanisan!

    ReplyDelete
  13. Ndoa ni kama goli ktk socca, yaani kipa anaanza kwa beki, beki anapiga kwa midle na midle wanapeleka kwa striker nae anatupia kambani. Ila mziki mzima ni dk 90 na mbilinge za kuingia kambani si kitoto.
    Believe ur GUTs na si kutimiza ndoto za mtu mwingine, we ndio uko front sasa amua kuingia kambani au paisha iwe goal kick. Ndoa inatokea automatically kutokana na kila mtu kutimiza wajibu wake na mwambie aonyeshe kama kweli anataka ndoa sio kukalia politike.

    ReplyDelete
  14. Uuh Namshukuru mungu nimesoma mpaka comment ya hapo juu sijakutana na tusi..huwa naishia njiani. Mbarikiwe jamani. Hongeren

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad