Ommy Dimpoz: Kung’aa Kawaida Yangu

Msanii kunako tasnia ya muziki wa Bongo fleva Omary Nyembo ”Ommy Dimpoz” amefunguka kuwa hakuna kitu ambacho anakithamini kama suala la  kuvaa na kupendeza.

Akizungumza na Risasi Ommy Dimpoz amesema kuwa kwa jinsi anavyopena kupendeza huwa hawezi kupitwa na fasheni na akipenda nguo haya ikiwa na gharama lazima anunue.


“Kwa mimi hata ukininyima chakula wala sinatumia roho, ila sasa ukitaka kugombana na mimi niambie usinunue nguo, hapo tutaonana wabaya napenda sana kupendeza pia napenda kwenda na fasheni kiujumla”alisema Ommy Dimpoz.

Stori: Khadija Bakari

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad