Polisi aliyeonekana akimnyonga mwanaume achunguzwa



Afisa wa polisi katika eneo la West Yoekshire nchini Uingereza anachunguzwa baada ya kupatikana kwa video inayoonesha akimsukuma chini mwanaumehuku akisema "tulia au nikuue".




Video hiyo inaonesha afisa huyo wa polisi alimpiga mweleka mwanaume huyo na kumkamiza chini ardhini na silaha shingoni.




Mwanaume huyo alionekana akigaragazwa sakafuni huku akisema "Basi nimeacha " kabla ya kuambia wan a polisi"geuka sasa " wakati polisi mwingine akisaidia kumshikilia.




Picha hizo kutoka Halifax ilisambazwa sana kwenye mitandao ya kijamii.




Polisiya West Yorkshire imesema afisa huyo amesimamishwa kazi na tukio hilo limeripotiwa kwenye taasisi inayochunguza minendo ya polisi.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad