Rais Magufuli Amlilia Dkt. Kisanga



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesikitishwa na kifo cha Rais wa Chama cha Waimbaji wa nyinmbo za Injili, Dkt. Donald Kisanga ambaye amefariki dunia leo akielekea kwenye kugombea ubunge wa UVCCM, Dodoma.


“Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha ghafla cha Rais wa Chama cha Wanamuziki wa Injili Tanzania, Dkt. Donald Kisanga aliyefariki dunia kwa ajali ya gari Jijini Dodoma. Mungu amweke mahali pema peponi, Amina.” – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad