“Nataka korosho tuwe tunazivuna na kuziongezea thamani Tanzania, malighafi zitumike kwenye mambo mengine, kisha tunazisafirisha kwenda kuuza, tuvae viatu kutoka viwanda vyetu, kwenye madini tumechezewa sana yalisemwa mengi, nilisimama kusema bora kufa ukiwa unaitetea Nchi” -JPM