Rais Magufuli "Nimepitia Taarifa za Majina YOTE 10,000 ya Watia Nia CCM"


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais John Magufuli amesema Kamati ya Maadili na Usalama na Kamati Kuu ya CCM zilipitia majina yote zaidi ya 10,000 ya wana CCM walioomba kuteuliwa kugombea ubunge ili kuhakikisha hakuna atakayeonewa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad