Sababu za Mwana Fa kupitishwa na CCM kugombea Ubunge Muheza (+video)



Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ kimempitisha msanii Hamis Mwinjuma ‘Mwana Fa’ kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Muheza Mkoani Tanga katika Uchaguzi Mkuu wa Taifa siku ya Oktoba 28,2020‬.

“Mwanamuziki huyu wa kizazi kipya ni msomi kwelikweli, tumeona timu yetu ichanganye watu ili wasipate pa kutokea, na kama unavyofahamu chama chetu kina mahusiano mazuri sana na wasanii kwa hiyo Mwana Fa anashika bendera ya CCM katika Uchaguzi huu kwenye Jimbo la Muheza” Polepole
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad