Mchezaji wa klabu ya Aston Villa na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Ali Samatta ameendelea kujitapa kuwa yeye ndio mbabe wa mchezo wao na Alikiba huku akiwa na historia ya kushinda michezo mitatu waliyocheza kwa misimu mitatu pia.
Samatta amesem akuwa Alikiba amekuwa mtu wa kulalamika kuhusu marefa akidai kuwa marefa wanahongwa ili afungwa
“Nimememwambia Alikiba atafute refa wake hata mdogo wake Abdukiba akichezesha ntamfunga tu”