Shambulizi lauwa 16 katika hoteli Mogadishu



Watu 16 wameuwawa katika shambulizi la Jumapili linalosadikiwa kufanywa na kundi la Al-Shabab kwenye hoteli moja mjini Mogadishu, msemaji wa serikali Ismail Mukthar Omar amesema.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad