Shamsa Ford amkaribisha Shilole uraiani ‘Usikurupukie mahusiano mapya’ (Video)


Msaniii wa filamu @shamsaford amefunguka kwa kudai kwamba matatizo aliyopitia yeye kwenye mahusiano ni madogo kuliko ya Shilole. Shamsa amemtaka rafiki yake huyo asikurupuke kuingia kwenye mahusiano mapya huku akijitolea mfano yeye ambaye amekaa miaka miwili bila kutangaza kwamba yupo na nani.

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad