Steve Nyerere Athibitisha Amani Kurejea Kwa Wema Sepetu na Kajala "Mama Ongea na Mwanawe Ndio Imefanya Mambo"


Maswali yalikuwa mengi jioni ya jana baada ya mahasimu wawili @wemasepetu na @kajalafrida kila mmoja kumpost mwenzie kupitia kurasa zao za Instagram, ikiwa swali kuu lilikuwa ni "Wamemaliza tofauti zao!?"

#LeoTenaYaCloudsFM imempata @stevenyerere2 na amethibitisha taarifa hizo na sasa wawili hao wako poa kama zamani...
"Mama ongea na Mwanawe ndio imewapatanisha imewaweka kiti kimoja na kuwapatanisha si Wema na Kajala tu bali hata Wema Sepetu na Aunty Ezekiel Wamepatanishwa"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad