Taarifa Kwenu wa WCB, Rich Mavoko Anarejea Kwa Kishindo


Baada ya Kimya cha Muda mrefu, hatimaye Mkali wa Muziki wa Bongo Fleva richmavoko amerudi na taarifa Kubwa na nzuri kwa mashabiki Zake, baada ya kutangaza kuachia #MiniTape yake Tar 7 mwezi huu

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Bilionea Kid richmavoko ameshare taarifa Hiyo Njema kwa mashabiki na Wapenzi wa muziki ambao walikua wamemiss Radha yake kwa muda mrefu, Kuwa muda si mrefu wategemee balaa kubwa kutoka kwake.

Katika Ujumbe huo , Mavoko ameandika “Marafiki zangu mmekua mkinipa ushirikiano na mpaka sasa Najua mnaendelea kufanya ivyo, Mziki ni kitu ninachokipenda na ninaishi nao “

Msie Mpenda kaja

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad