Taarifa za Kifo Cha Rapper Eminem..Taaruki Yaibuka

Taharuki imeibuka kwenye mtandao wa Twitter mara baada ya hashtag ya #RipEminem kusambaa usiku wa kuamkia leo.

Baada ya kuonekana Hashtag hiyo, mashabiki walianza kutafuta chanzo cha taarifa hiyo na baaadaye ilioneka tweet kutoka kwa jamaa mmoja iliyosomeka "I have Killed eminem"
-
Baadhi ya mashabiki wameanza ku-share salamu zao za rambirambi wakidhani ni kweli Eminem amefariki. Wengine wameitafsiri kama sio kifo cha kawaida bali ni kifo cha kimuziki.

Hadi sasa bado hakuna kauli yoyote toka kwa Eminem wala uongozi wake kuhusu taarifa hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad