Tanzania Yaongoza Kwa Kuwa NCHI Yenye Amani Zaidi Afrika Mashariki
0
August 19, 2020
Utafiti uliofanyika na Taasisi ya Uchumi na Amani (Institute for Economics and Peace) umetaja nchi zenye amani duniani huku Tanzania ikiwa ni ya 52 duniani na ya 1 Afrika Mashariki
Kenya ni nchi ya 125 na Uganda ni ya 109 duniani huku nchi ya kwanza kwa kuwa na amani ni Iceland ikifuatiwa na New Zealand na Portugal na nchi zilizoshika mkia kwa amani ni Iraq, Syria na Afghanstan ni ya mwisho kabisa
Jarida hilo linalotoa hali ya amani kwa nchi huru 163 duniani limeonesha amani ya dunia, Global Peace Index imeshuka kwa 0.34%
Tags