TANZIA: Muigizaji Filamu ya 'Black Panther' Chadwick Boseman Amefariki Dunia

 TANZIA: Muigizaji nyota wa filamu ya 'Black Panther' Chadwick Boseman (43) amefariki dunia baada ya kupambana na ugonjwa wa saratani ya utumbo mpana kwa miaka 4.

Boseman ambaye alicheza kama T'Challa kwenye filamu hiyo ya Black Panther, amefariki akiwa nyumbani kwake mjini Los Angeles huku akiwa amezungukwa na mkewe pamoja na familia yake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad