Tik Tok yafungua mashtaka dhidi ya utawala wa Trump




Application ya TikTok inayomilikiwa na kampuni ya Kichina ya ByteDance imefungua mashtaka dhidi ya Serikali ya Marekani kupinga jitihada za utawala wa Rais Donald Trump kuzuia kampuni hiyo kufanya kazi Marekani


Wamesema hawachukulii suala la kuifungulia mashtaka Serikali kwa wepesi, lakini wanaona hakuna njia nyingine zaidi ya kufanya hivyo ili kulinda haki zao, na zile za jamii na wafanyakazi wake


Aidha, TikTok imesema zuio la Marekani limepuuza jitihada za kampuni hiyo kuthibitisha kuwa haitoi taarifa za wateja kwa Serikali ya #China, na kwamba sio kitisho kwa Usalama wa Taifa


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad