Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Kutumia Bilioni 331.7 Uchaguzi Mkuu Mwaka Huu

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa tume ya taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu SEMISTOCLES KAIJAGE amewaeleza wahariri wa vyombo vya habari kuwa katika kuandaa na kuendesha uchaguzi wa mwaka huu tume imeandaa bajeti ya kiasi cha shilingi 331,728,258,035,00 zinazotarajiwa kutumika.

Kwa kuzingatia kifungu cha 22 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mfuko wa mkuu wa Hazina itagharamia shughuli zote za uchaguzi kwa asilimia mia moja.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad