Ukweli Unaouma..Kuhonga Sio Ticket ya Kupendwa, Wanaume Acheni Kujipa Moyo

Jamani tuongee ukweli,kuhonga hakuongezi kupendwa palipo penzi la dhati.Penzi la muda mfupi au la siku moja kuhonga kutaweza kukusaidia lakini kwa mwanamke au mwanaume anayekupenda haihitaji kuhonga. hii sio kwa awanaume tu hata wanawake wanaohonga.
Kwa uzoefu wangu huu penzi la kweli halipatikani kwa kuhonga bali kuridhiana na kupendana.

Utakuta Mwanaume anajisifia yule demu kaoza kwangu achomoi kitu, kumbe ana actiwa kupendwa sababu anahonga sana, bila hivyo asinge ona hata kufuli kuacha tu kuivua ha ha ha

Usijidanganye wala kujipotezea muda na pesa zako kuhonga kutafuta penzi la dhati utajuta bure, utaishia kuchunwa zikiisha tu unaachwa anatafutwa mwingine

Karibuni wadau kuongezea elimu au kuniweka sawa
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad