UTEUZI: Rais Magufuli amteua Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemtaua Bw. Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, akichukua nafasi ya Bw. Mussa Ramadhan Chogelo aliyepangiwa kazi maalum katika Ofisi ya Rais.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad