Video: Madam Rita aomba radhi mbele ya Waziri Mwakyembe, kisa fedha za Meshack wa BSS



Muandaaji wa Mashindano ya BSS, Madam Rita mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe ameomba radhi kwa kuchelewesha malipo ya Mshindi wa BSS mwaka 2019, Meshaki Fukuta. Madam Rita ameyasema hayo wakati akizindua msimu mpya wa shindano hilo la Bongo Star Search kwa msimu wa 11 ambapo Waziri Dkt Mwakyembe akiwa mgeni rasmi huku Meshaki Fukuta akiwa ni sehemu ya wasanii waliyopata nafasi ya kutoa burudani. VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad