VIDEO: Mkinichagua kuwa Rais wanafunzi wote nitawapa ubwabwa-Hashim Rungwe


Mgombea urais kupitia chama cha ukombozi wa Umma CHAUMA Hashim Rungwe leo amejitokeza tume ya uchaguzi NEC jijini Dodoma kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akiahidi makubwa kwa wa Tanzania.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad