VIDEO:Jinsi Msanii Rosa Ree Alivyowapa Burudani Wanafunzi wa Jangwani Secondary Akishirikiana na NiceAndFree Pads


Msanii Rosa Ree Akishirikiana na Kampuni ya Nice And Free Pads Wamewapa Burudani ya nguvu wanafunzi wa Jangwani Secondary Siku ya Jana Ijumaa Tarehe 28 Aug 2020, Pia wamegawa Pads za Nice And Free kwa kila mwanafunzi

Rosa Ree Ameandika Haya:
#ZamuYanguByRosaRee !!!!! Shukrani nyingi sanaaaa ziende kwenye wanafunzi na walimu woteee wa Jangwani Sec. School pamoja na @nicenfreepads kwa kushirikiana nasi kwenye charity campaign ya #ZamuYanguByRosaRee .....Tuwapende we zetu wa kujitahidi kadri ya uwezo wetu kuweka furaha kwenye nyuso zao


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad