Waliojitokeza kuwania nafasi mbalimbali kwenye CCM jumla walifika 43,461, tumevunja rekodi Afrika- JPM



 “Mkutano huu una Ajenda moja kubwa kufanya uteuzi wa Wagombe Ubunge na Uwakilishi kupitia CCM, zoezi la uteuzi lilianza mwezi mmoja uliopita, ambapo kwa msamiati maarufu wa siku hizi Ndugu Wajumbe walipiga kura za maoni kupendekeza majina ya Wagombea na tupo hapa kuwajadili”-JPM


“Waliojitokeza kuwania nafasi mbalimbali kwenye CCM jumla walifika 43,461, ni mafanikio makubwa sana kwa Chama chetu, hakuna Chama kingine ambacho wemejitokeza Watu zaidi ya Elfu 43 inawezekana tumevunja rekodi Afrika,hiki ni Chama Dume na Chama Jike pia”-JPM
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad