Wanaotegemea NDUGU Walio Ulaya na Marekani Kukumbwa na Hali Mbaya Kiuchumi


Kutokana na changamoto ya #COVID19 na hatua zilizochukuliwa ili kuepuka maambukizi zaidi ya janga hilo, watu waliokuwa wanawategemea ndugu zao walio nchi za Ulaya wamejikuta kuwa katika hali mbaya

Mchumi wa Benki ya Dunia, Dilip Rapha amesema kutakuwa na punguzo la 20% la pesa zilizokuwa zikitumwa kwa ndugu ambao ni tegemezi

Hii ni kutokana na watu hao walio nje kwa sasa wanahangaika kutafuta kazi kwa kuwa shughuli nyingi zimefungwa kutokana na janga la #COVID19

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad