Agizo la Serikali “mafuta ya Mikoa ya Kaskazini kuchukuliwa Bandari ya Tanga”



Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imewaagiza wasambazaji wa bidhaa za petroli katika mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuchukua bidhaa hizo kutoka Bandari ya Tanga, na si sehemu nyingine.

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA inaeleza kuwa utaratibu wa wafanyabiashara hao kuchukua mafuta kutoka Bandari ya Dar es Salaam kunawaathiri wafanyabiashara wa jumla walioingiza mafuta kupitia Bandari ya Tanga.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad