Aliyosema Humphrey Polepole Kwenye Mkutano wake na Waandishi wa Habari Kutoka Viwanja Vya Dodoma Convention Centre, Dodoma


Yaliyojiri na Aliyoyazungumza Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi wa CCM Komredi Humphrey Polepole Kwenye Mkutano wake na Waandishi wa Habari Kutoka Viwanja Vya Dodoma Convention Centre, Dodoma. Ametolea ufafanuzi masuala mbalimbali ya amani hasa kutoka Kwenye tukio la Kuuawa kwa Mwenyekiti wa Seneti Vyuo na Vyuo Vikuu-Iringa na Kujibu Hoja Mlendamlenda za Mawakala wa Mabeberu @ccmtanzania #T2020JPM #VitendoVinaSauti









Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad