Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva @diamondplatnumz na @mimi_mvrs11 wameonekana wakiogelea wote nyumbani kwa @diamondplatnumz pamoja na @hanstonee01
Stori hii imekuwa kubwa kutokana na kauli aliyoitoa @diamondplatnumz kuwa ANAMPENDA SANA MIMI MARS ILA TIMING SIJUI ANAKOSEAGA WAPI
@mimi_mvrs11 kuonekana kwa @diamondplatnumz huenda tukasiki chochote kwani @diamondplatnumz hakuomba Collabo kwa @mimi_mvrs11 bali alisema anampenda. Kwa maoni yako unahisi kitu gani kinaendelea kati ya @diamondplatnumz na @mimi_mvrs11
VIDEO: