Bamia Hii Hii Unayoijua..Pambana na Magonjwa Yafuatayo kwa Kutumia Bamia..!!!

Bamia Hii Hii Unayoijua..Pambana na Magonjwa Yafuatayo kwa Kutumia Bamia..!!!

watu wengi tumekua hatutumii bamia either kwa radha yake au tu kasumba ya kuona Bamia ni MBOGA ya walala hoi !!!. 

Leo Naomba ufahama Bamia kama moja ya Mboga za majani ndio MBOGA yenye uwezo wakusaidia afya zetu ,,,Bamia ina unatajiri wa nutrients mbali mbali ,, nutrients izo ni 

1)- Calories - 30 calories
2)-Vitamin C- 21 Milligrams
3)-Carbohydrates - 7.6 Grams 
4)-Fatty - 0.1 grams 
5)-Magnesium - 16 milligrams
6)-Diatery Fibers - 3 grams .

Kutokana na kua nautajiri huo mkubwa,, Tafiti zimethibitisha kua BAMIA ni kiboko ya Magonjwa yafuayo 

- Diabetes ( kisukari)
-Asthima ( inayoanza na iliyokwisha kuathiri)
-Cholesterol
-Kidney Disease (Magonjwa ya figo)
Ulcers (Vidonda vya tumbo ).
-Mimba ,,husaidia mtoto kukua akiwa na Afya njema na aliyekamilika .
-Anemia 
-Matatizo ya kutoona Vizuri .
-Pia Bamia huongeza nguvu ktk mfumo wa mwili wa kinga ktk kupambana na magonjwa .

- Kuondoa Maumivu wakati wakutoa haja kubwa 
-Kuimarisha Mifupa lege lege .

NAMENGINEYO MENGI AMBAYO SIJAYAANDIKA ,, .

Watu wazaman walifanikiwa kuishi miaka mingi kwa kutumia vitu km ivi...

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad