CCM Kinara Takwimu za Umati wa Wananchi Katika Mikutano ya Kampeni
0
September 23, 2020
Kazi Nzuri iliyofanywa na Chama Cha Mapinduzi katika Uandaaji na Kuinadi Ilani inaendelea kumbeba Mgombea Urais wa Chama hicho Dr John Pombe Magufuli, Baada ya Shirika la Utafiti la Kimataifa kutoa Utafiti Mwingine kuelekea Oktoba 28. #T2020JPM #KuraKwaMagufuli @VitendoVinaSauti
Tags